mamndenyi for next Big Brother......

mamndenyi for next Big Brother......

Wewe nae huyo Bishanga anakuzingua na hela za FINCA achana nae huyo[/QUOTE]

Yule si wako,
Na mimi si wangu,
Wivu wa nini kati yangu mimi na wewe,
Wataka kuniua bure Baba V.........
Source: sina makosa wa baba vilunga
 
Last edited by a moderator:
bishanga alishafulia siku nyingi. hata hamisi kishindindo analijua hilo.
siku bishanga akifulia hata ndege ya serikali itasimama kwa kukosa mafuta,chezeiya wewe bepari la kihaya.
 
Back
Top Bottom