nitumie dodoma wine ndo ntaacha kukununia.
Nimeumia sana moyoni..........:shock:
Nimesikitika sana. Siamini! Dah!
Unajigonga nini? Mwache anywe thumu
Asante kama itakuwa kweli. Mi nna wivu kama jogoo.usisikitike bwana, katu hutosikia hivyo tena
Asante kama itakuwa kweli. Mi nna wivu kama jogoo.
Usisikilize maneno yangu, fuata matendo yangu......:A S kiss:hivi na wewe ni jogoo kila tetea wapandia?
Usisikilize maneno yangu, fuata matendo yangu......:A S kiss:
Da! Baada ya hapo utanibusuje sasa?