Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Kariakoo imewashinda?

Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Kariakoo imewashinda?

getrusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
2,150
Reaction score
1,824
Narudia tena kuleta huu uzi hapa je TRA eneo la kariakoo limewashinda? Hii tabia ya kiburi ya wafanyabiashara kutoa risiti isiyoendana na mauzo ndio utaratibu mlio uruhusu?

Kama mnajifanya hamna habari hivi ni kweli hamna kitengo cha uchunguzi?

Hivi mzigo wa laki tano unapewa risiti ya tsh 50,000 hiyo ni sawa?

Hii tabia inakera sana kwa sisi ambao sehemu nyingine tunalipa kodi kwa uhalali kwa nini wengine wafaidike kwa migongo yetu?
 
Acha chuki wewe,kwani kama hutaki si unatoa taarifa TRA hapo hapo.wanakuja wanwakamata kwa kosa la kuiibia serikali?
Sasa akitoa taarifa TRA na wakawakamata jamaa, mbona nayo ni chuki tu kama hiyo uliyomwambia aache?
 
Narudia tena kuleta huu uzi hapa je TRA eneo la kariakoo limewashinda? Hii tabia ya kiburi ya wafanyabiashara kutoa risiti isiyoendana na mauzo ndio utaratibu mlio uruhusu? Kama mnajifanya hamna habari hivi ni kweli hamna kitengo cha uchunguzi?
Hivi mzigo wa laki tano unapewa risiti ya tsh 50,000 hiyo ni sawa?

Hii tabia inakera sana kwa sisi ambao sehemu nyingine tunalipa kodi kwa uhalali kwa nini wengine wafaidike kwa migongo yetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uruhusu mtu akufaidi mgongo wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi umewasiliana na kiamishna mkuu wa TRA kufikisha malalamiko?Na ulipowea risiti feki ulidi risiti halali?Je una mashahidi kuwa kweli umepewa risiti feki au umepigwa cha juu tu?
Ndugu usitie shaka uchunguzi natumai huanza baada ya taasisi husika kupewa tip.
Hapa narusha risit za maduka ambayo ni maarufu kwa kutoa risit zisizoendana na mauzo wayafanyayo! Kwa uchunguzi wangu wa miezi sita nina risiti za maduka karibu 15. Naamini wakianza na hawa ni rahisi kuwapata na wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisharipoti nini kinatokea kwako? Kota linaongezeka?
 
Write your reply...ss humu kuna tra mkuu nenda huko tra ukatoe hayo malalamiko yako ss hivi kila m2 anapambana na hali yake mkuu
 
Narudia tena kuleta huu uzi hapa je TRA eneo la kariakoo limewashinda? Hii tabia ya kiburi ya wafanyabiashara kutoa risiti isiyoendana na mauzo ndio utaratibu mlio uruhusu? Kama mnajifanya hamna habari hivi ni kweli hamna kitengo cha uchunguzi?
Hivi mzigo wa laki tano unapewa risiti ya tsh 50,000 hiyo ni sawa?

Hii tabia inakera sana kwa sisi ambao sehemu nyingine tunalipa kodi kwa uhalali kwa nini wengine wafaidike kwa migongo yetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wtf Sasa kama wewe ulipewa risiti isiyo halali kwa nini huku kataa Na raisi alisema kila kitu ukinunua dai risiti kama kunashaka hama nenda duka linalo Toa risiti halali nafikiri TRA waanze Na wewe this is a bull shit

Ulivo pewa uli kaa kimya saiz mtandaoni unakuja Na hasira zako nafkir utakua Na shida kichwani we sio mzika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia tena kuleta huu uzi hapa je TRA eneo la kariakoo limewashinda? Hii tabia ya kiburi ya wafanyabiashara kutoa risiti isiyoendana na mauzo ndio utaratibu mlio uruhusu? Kama mnajifanya hamna habari hivi ni kweli hamna kitengo cha uchunguzi?
Hivi mzigo wa laki tano unapewa risiti ya tsh 50,000 hiyo ni sawa?

Hii tabia inakera sana kwa sisi ambao sehemu nyingine tunalipa kodi kwa uhalali kwa nini wengine wafaidike kwa migongo yetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchawi huuu haiwez kukusaidia.Kwani usiwambie wakupe risti uone km watakataa,ukiona umepewa hvyo ujue mmekubaliana vingnevyo uache unafiki wa kichawi
 
Inapaswa mlipe kodi acheni blah blah,inakuwaje mteja anafanya manunuzi ya laki tano (500,000/=)halafu unampa risiti inayosomeka manunuzi 50,000/=?,acheni janja janja lipeni kodi kihalali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom