heavyload
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 900
- 497
Mamlaka ya mapato mkoa wa dodoma mnajua kuwa ukusanyaji wa kodi kupitia EFDs bado ni changamoto hasa wilaya ya chamwino?
Nimeanza kwa kuuliza swali kwakuwa nahisi hamfahamu kinachoendelea .Wafanyabiashara wa maduka hasa Chamwino vijijini kama kijiji cha manzase hawatumii mashine hizi huku wakiwa na mauzo zaidi 14m kwa mwaka.
Nasikitika kusema kuwa tra Dodoma hasa Chamwino mnaweza mkawa ni sababu ya serikali na wananchi kuibiwa mapato kutokana kutofuatilia wezi hawa.
Kuna wafanyabiashara unakuta ana store kubwa halafu anazuga na kaduka kadogo huku mzigo alionao store ukiwa ni mkubwa.
Naomba kwa heshima kubwa mamlaka hii ifuatilie watu hawa.Mkitaka maelekezo zaidi kutoka kwangu niko tayari. No zangu za simu ni 0717438020.
Natanguliza uzalendo kwanza.