real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,287
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini imeonya kutakuwepo na mvua kubwa maeneo ya Kanda Magharibi na Kanda ya Ziwa Victoria itakayonyesha ndani ya kipindi cha kuanzia kesho hadi Jumapili.
Mvua hizo zitazidi mm 50 ndani ya saa 24, Mikoa itakayoathirika ni Mara, Mwanza, Shinyanga, Geita Simiyu Kagera Kigoma Katavi Tabora na Rukwa.
Mvua hizo zitazidi mm 50 ndani ya saa 24, Mikoa itakayoathirika ni Mara, Mwanza, Shinyanga, Geita Simiyu Kagera Kigoma Katavi Tabora na Rukwa.