Mamlaka ya Hali ya Hewa yaonya, kutakuwepo na mvua kubwa ukanda wa Ziwa Victoria na Kanda ya Magharibi

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini imeonya kutakuwepo na mvua kubwa maeneo ya Kanda Magharibi na Kanda ya Ziwa Victoria itakayonyesha ndani ya kipindi cha kuanzia kesho hadi Jumapili.

Mvua hizo zitazidi mm 50 ndani ya saa 24, Mikoa itakayoathirika ni Mara, Mwanza, Shinyanga, Geita Simiyu Kagera Kigoma Katavi Tabora na Rukwa.
DNJy9ADXcAAZZqx.jpg large.jpg
 
Na Dar inaisha lini maana haya maafa yanatosha kwa kweli
 
Back
Top Bottom