KabisaUmeona Eeeh!
anhaaWanaboa Sana. Sasa nimeelewa kwa nini wakubwa zangu walipenda kutumia bandari ya Mombasa mwanzoni mwa miaka ya 2000
Waspokujaza mkuu waanike hapahapa tena kwa majina, Povu halijawahi kumuacha mtu salama zama hizi za anko maguMkuu Ili Povu Nimewamwagia Sana huko ofisini kwao ila bado hawaelewi. but jf itatoa mrejesho. Mabos Wapo Humu.
Ungepotia Mombasa wako na uhakika zaidi hawacheleweshi wala nini.Ila hili shirika ni jipu. They always want to learn the hard way.