Mamlaka ya bandari-TPA naombeni gari langu

intro

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
308
Reaction score
328
Hivi nyinyi watu wa bandari DAR mnajua nimehenyeka kiasi gani kutoa hizo dola kadhaa kununua gari japan.

Kushindia Dagaa,kupunguza matumizi yangu ili mradi tu niwe na gari inisaidie katika shughuli zangu ila nyinyi watu msiokuwa na imani hadi leo mmekaa na gari yangu tena kwa uzembe wa hizo mnazoita system zenu.

Ni zaidi ya mwezi sasa,nimelipia kila kitu na sijui hzo extra charges atatoa nani?Maana mimi siko tayari kubeba uzembe wenu.

Nipeni Gari yangu bwana niendelee kulitumikia taifa langu

.Au Mnajua hiyo gari hiyo gari haina mwenyewe kama vile vichwa?

Msiniletee Upimbi Kwenye masuala ya shilingi.

UPDATE
Nimetoka Kupigiwa Simu mida hii ya saa3 usiku gari yangu imetoka.

Povu Limesaidia
 
Hivi nyinyi watu wa bandari DAR mnajua nimehenyeka kiasi gani kutoa hizo dola kadhaa kununua gari japan.

Kushindia Dagaa,kupunguza matumizi yangu ili mradi tu niwe na gari inisaidie katika shughuli zangu ila nyinyi watu msiokuwa na imani hadi leo mmekaa na gari yangu tena kwa uzembe wa hizo mnazoita system zenu.

Ni zaidi ya mwezi sasa,nimelipia kila kitu na sijui hzo extra charges atatoa nani?Maana mimi siko tayari kubeba uzembe wenu.

Nipeni Gari yangu bwana niendelee kulitumikia taifa langu

.Au Mnajua hiyo gari hiyo gari haina mwenyewe kama vile vichwa?

Msiniletee Upimbi Kwenye masuala ya shilingi.
Duu hawa jamaa wa TPA sijui kama wapo humu Hahahah
 
Kama wewe Unauchungu kweli haya maneno ungeenda kuyatolea ndani ya ofisi zao
 
kwa povu hili lazma watatoa, ushawajaza subiri nawe utajazwa

Mkuu Ili Povu Nimewamwagia Sana huko ofisini kwao ila bado hawaelewi. but jf itatoa mrejesho. Mabos Wapo Humu.
 
Kama wewe Unauchungu kweli haya maneno ungeenda kuyatolea ndani ya ofisi zao
Nimeyatoa Sana ila mrejesho wao ni kalenda za kuniambia bado signatory mmoja.
 
Hivi nyinyi watu wa bandari DAR mnajua nimehenyeka kiasi gani kutoa hizo dola kadhaa kununua gari japan.

Kushindia Dagaa,kupunguza matumizi yangu ili mradi tu niwe na gari inisaidie katika shughuli zangu ila nyinyi watu msiokuwa na imani hadi leo mmekaa na gari yangu tena kwa uzembe wa hizo mnazoita system zenu.

Ni zaidi ya mwezi sasa,nimelipia kila kitu na sijui hzo extra charges atatoa nani?Maana mimi siko tayari kubeba uzembe wenu.

Nipeni Gari yangu bwana niendelee kulitumikia taifa langu

.Au Mnajua hiyo gari hiyo gari haina mwenyewe kama vile vichwa?

Msiniletee Upimbi Kwenye masuala ya shilingi.
Mh mkuu Utakuwa mangi hutaki utani na pesa
 
Andika official letter, kwa waziri,nakala kwa katibu mkuu, nakala kwa mkurugenzi
 
Ila hili shirika ni jipu. They always want to learn the hard way.
 
Mkuu unaongelea zile noah za makinikia au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom