Mamlaka jijini London yaifutia leseni Uber!!

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,832
Mamlaka inayohusika na usafirishaji imeifutia leseni kampuni ya Uber na hivyo haitaruhusiwa kuendesha shughuli zake katika jiji la london.
 
Nashangaa Tanzania ndio kwanza tunahamasishwa kujiunga na vitu visivyoeleweka.
 
kama ina utaratibu mzuri wa kulipa kodi mimi naona hamna tatizo,kkuna jamaa zangu ni madereva washirika bila uber sijui wangekuwa wanafanya nini sasa
 
Mamlaka inayohusika na usafirishaji imeifutia leseni kampuni ya Uber na hivyo haitaruhusiwa kuendesha shughuli zake katika jiji la london.

Inasemwa kwamba idadi kubwa na madereva wanaotoa huduma hiyo wengi wao (hasa madereva wasio wazungu waingereza) wanaishia kuwabaka wanawake au wasichana wadogo ambao hukodi gari za Uber wakiwa wamelewa wanapotoka kwenye klabu za usiku.

Pia kuna idadi kubwa ya malalamiko kutoka kwa abiria hao.

Ikumbukwe kuwa Uber husajili mtu yoyote yule mwenye leseni na gari yake ya maana lakini wale wanaume mabazazi au wenye kutojiamini na wenye kupenda kubaka pia hutumia nafasi hiyo kufanya yao.

Hivyo leseni imefutwa na itaangaliwa tena baada ya kanuni fulanifulani kuwa "introduced " kama vile madereva kuwa wamepitia utaratibu wa kuangaliwa rekodi zao za uhalifu na zile za kuhusishwa na uhalifu wowote hasa ule wa kubaka.
 
Ina maana hawafanyi background check, tena kwa mji mkubwa kama huo?
 
Usipomfanyia mtu vetting ya nguvu matokeo yake ndo haya sasa..
 
Back
Top Bottom