Mamlaka iiangalie BBC Swahili via Star tv

Nimesikiliza taarifa ya habari ya BBC Swahili Leo hii saa tatu kupitia Star tv mwandaa maudhui na mtangazaji wake wamepwaya sana hasa kesi ya Lissu walivyoitolea taarifa.

Kila haki nyuma kuna wajibu,BBC wana malengo yao kama taasisi na hili siwalazimishi kubadilika sabu wapo kibiashara,malengo hayo yanasukumwa na sera za kimagharibi juu ya Afrika, mwenye nguvu avurugwe Ili wamtawale indirectly (western politics).

Kitendo cha wao kuwapumbaza baadhi ya waafrika wenzetu kwa kushindwa kutii tamaduni za kijiografia/kikanda na nchi husika kisipelekee kuleta insecurity-kila nchi ina sera zake na zinapaswa ziheshimiwe ukizingatia zinatii haki za binadamu ambazo ndio msingi wa sheria.

4R za mama zilikuwa wazi kabisa lkn mtu anapoibuka na kusema atafanya uhaini nchini atahakikisha nchi inavurugika kwa kukiwasha hasa, ni ukiukwaji wa wajibu wake na mtu akipelekwa mahakamani aliyempeleka anaonekana mbaya wakati kauli ya Lissu alivoitoa kuwa yeye atafanya uhaini hawakuitoa kwenye media zao kuonesha madhara ya kauli ile

Matokeo yake mtu mwenye dhamana ya nchi aliyopewa kisheria na ambaye anawajibika nayo anapotoa msimamo wake eti mwandishi wa BBC anasema anasema "amewakejeli" wanaharakati kwa kuwaambia kuwa Tz Sio shamba la bibi-ndio hivo huyu ni mkuu wa nchi pia ni Rais na ni Amiri jeshi mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama anatoa neno kama dira pindi anapoona mambo hayapo sawa sawia

Wito wangu, mamlaka ziangalie namna ya utoaji wa taarifa kwa hivi vyombo vya nje,vinapotosha,vinatweza mamlaka pia kupumbaza wananchi kwa maslahi yao binafsi
Ila nchi hizo zikitoa pesa tunafurahia pesa yao tukiwaita wahisani na rafiki wa maendeleo yaani hela zao ni tamu tukizitumia ila mambo yetu watuachie wenyewe hivi yapi ni mambo yao binafsi na yapi ni mambo yetu binafsi?
 
Tatizo la BBC ni nini!!?
Umehorojoka lakini haujaandika BBC wamefanya nini!!
 
Nimesikiliza taarifa ya habari ya BBC Swahili Leo hii saa tatu kupitia Star tv mwandaa maudhui na mtangazaji wake wamepwaya sana hasa kesi ya Lissu walivyoitolea taarifa.

Kila haki nyuma kuna wajibu,BBC wana malengo yao kama taasisi na hili siwalazimishi kubadilika sabu wapo kibiashara,malengo hayo yanasukumwa na sera za kimagharibi juu ya Afrika, mwenye nguvu avurugwe Ili wamtawale indirectly (western politics).

Kitendo cha wao kuwapumbaza baadhi ya waafrika wenzetu kwa kushindwa kutii tamaduni za kijiografia/kikanda na nchi husika kisipelekee kuleta insecurity-kila nchi ina sera zake na zinapaswa ziheshimiwe ukizingatia zinatii haki za binadamu ambazo ndio msingi wa sheria.

4R za mama zilikuwa wazi kabisa lkn mtu anapoibuka na kusema atafanya uhaini nchini atahakikisha nchi inavurugika kwa kukiwasha hasa, ni ukiukwaji wa wajibu wake na mtu akipelekwa mahakamani aliyempeleka anaonekana mbaya wakati kauli ya Lissu alivoitoa kuwa yeye atafanya uhaini hawakuitoa kwenye media zao kuonesha madhara ya kauli ile

Matokeo yake mtu mwenye dhamana ya nchi aliyopewa kisheria na ambaye anawajibika nayo anapotoa msimamo wake eti mwandishi wa BBC anasema anasema "amewakejeli" wanaharakati kwa kuwaambia kuwa Tz Sio shamba la bibi-ndio hivo huyu ni mkuu wa nchi pia ni Rais na ni Amiri jeshi mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama anatoa neno kama dira pindi anapoona mambo hayapo sawa sawia

Wito wangu, mamlaka ziangalie namna ya utoaji wa taarifa kwa hivi vyombo vya nje,vinapotosha,vinatweza mamlaka pia kupumbaza wananchi kwa maslahi yao binafsi

Wewe lazima.una uwendawazimu. Ebu leta hapa hata clip moja au andiko ambapo Lisu alisema atafanya uhaini.

Kichwani yaelekea umejaza takataka. Wanasheria wa Serikali na polisi, wanasema kuwa bado wanafanya upelelezi, na mpaka sasa hawajakamilisha, hata kama una akili punje, hivi kama Lisu angekuwa aliwahi kutamka atafanya uhaini, unadhani hao wapelelezi wangekuwa bado wanahangaika kutafuta ushahidi.

I am sure you are brain retarded.
 
Kuna video moja SALIM KIKEKE anasema, wakati yupo BBC kuna taarifa zilikua zinakuzwa hasa za mambo mabaya mabaya ya Africa. Moja wapo anasema ni swala uchaguzi wa Congo mwaka flani. Anasema hali halisi ilivyokuwa na taarifa ilivyo andaliwa ili iruke hewani yeye mwenyewe alibaki mdomo wazi
 
Back
Top Bottom