BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 654
- 1,598
Lakini inashangaza kwa miaka yote Watu wa daladala na mabasi wanatozwa tozo lakini stendi imejaa tope, mashimo kila kona kama vile haina wasimamizi.
Kutokana na hali hiyo Wito wangu kwa mamlaka zinazosimamia stendi hiyo zitenge fungu la kufanya uboreshaji wa stendi hiyo hata wa muda mfupi endapo kutakuwa na mpango mwingine wa kujenga stendi mpya yenye ubora zaidi ili kuepusha kero iliyopo sasa.