Are you sure. Tunajuaje kuwa fulani kasingiziwa? Basi na Hbinder/Rugemalila/Malinzi/Wambura wamesingiziwa!Hapo ni busara tu inatumika, maana kusingiziana kumezidi!
Kesi zikirudishwa mahakamani yale mazingira ya rushwa yaliyopelekea injustice yakazuiwa, basi tutajua yupi kainewa na yupi hakuonewa.Are you sure. Tunajuaje kuwa fulani kasingiziwa? Basi na Hbinder/Rugemalila/Malinzi/Wambura wamesingiziwa!
Prove it mahakamani, kesi irudishwe mahakamaniAre you sure. Tunajuaje kuwa fulani kasingiziwa? Basi na Hbinder/Rugemalila/Malinzi/Wambura wamesingiziwa!
Tumsubiri Petro Mselewa!Ngoja wajuzi waje nipate somo!
Unaona sawa kuachiliwa mafirauni waliothibitishwa na mahakama kuu!? (babu seya)Kwa hili la waliobambikiwa kesi za mauaji na kusaidiwa hata kama hana mamlaka naona sawa tuu kuliko watu wateseke kwa kuzungumzia mamlaka...na wakitaka wakupoteze kesi ya Ardhi unapewa mauaji na wengi wamehukumiwa hivyo sio kila kitu kupinga tuu hata kwa vitu anavyopatia ili mradi tupo upande tofauti hata akifanya kitu kwa maslahi ya watu waliodhurumiwa haki zao ni kupinga tuu..
Wewe kama jambo ulijui bora nyamaza kimya. Unajua mamalaka ya rais wewe? Raia ana mamlaka ya kubatilisha hata ukumu sembuse kurudisha mashauri mahakamani? Kamuulize Babu seyaNimesoma mahali kuwa Mtukufu Rais amemwamrisha RCO kurudisha kesi zote za mauaji ya Mkoa wa Mwanza upya mahakamani. Hizi kesi zimefikia finality ya course zao, Sijui kwa sheria ipi anazirudisha. Review/Revision/ au AMRI TU KUWA AMUA HIVI FULANI ASHINDE
1. Mamlaka haya Rais anayapata wapi?
2. Mahakama zinaanzia wapi? High court /court of appeal?
Juduciary on trial again!
Mbona tunakwenda kubaya jamani?
Tukisema huyu mtu ni mshamba na janga wengine hawaelewiNimesoma mahali kuwa Mtukufu Rais amemwamrisha RCO kurudisha kesi zote za mauaji ya Mkoa wa Mwanza upya mahakamani. Hizi kesi zimefikia finality ya course zao, Sijui kwa sheria ipi anazirudisha. Review/Revision/ au AMRI TU KUWA AMUA HIVI FULANI ASHINDE
1. Mamlaka haya Rais anayapata wapi?
2. Mahakama zinaanzia wapi? High court /court of appeal?
Juduciary on trial again!
Mbona tunakwenda kubaya jamani?
Tukisema huyu mtu ni mshamba na janga wengine hawaelewiNimesoma mahali kuwa Mtukufu Rais amemwamrisha RCO kurudisha kesi zote za mauaji ya Mkoa wa Mwanza upya mahakamani. Hizi kesi zimefikia finality ya course zao, Sijui kwa sheria ipi anazirudisha. Review/Revision/ au AMRI TU KUWA AMUA HIVI FULANI ASHINDE
1. Mamlaka haya Rais anayapata wapi?
2. Mahakama zinaanzia wapi? High court /court of appeal?
Juduciary on trial again!
Mbona tunakwenda kubaya jamani?
Ignore! Make a difference between a layman and a learned manUpumbavu ni kuchukulia rais kama mtu binafsi na si taasisi.
Kelele hizi Mngekuwa mnapigania tume huru Mngekuwa mnaonekana wa akili sana. Sasa subirini mje kulialia tena 2020