Mamlaka haya Rais anayapata wapi ya kuamuru kesi ambazo zimefikia finality zirudi mahakamani

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,179
73,623
Nimesoma mahali kuwa Mtukufu Rais amemwamrisha RCO kurudisha kesi zote za mauaji ya Mkoa wa Mwanza upya mahakamani. Hizi kesi zimefikia finality ya course zao, Sijui kwa sheria ipi anazirudisha. Review/Revision/ au AMRI TU KUWA AMUA HIVI FULANI ASHINDE

1. Mamlaka haya Rais anayapata wapi?
2. Mahakama zinaanzia wapi? High court /court of appeal?

Juduciary on trial again!

Mbona tunakwenda kubaya jamani?
 
Kwa hili la waliobambikiwa kesi za mauaji na kusaidiwa hata kama hana mamlaka naona sawa tuu kuliko watu wateseke kwa kuzungumzia mamlaka...na wakitaka wakupoteze kesi ya Ardhi unapewa mauaji na wengi wamehukumiwa hivyo sio kila kitu kupinga tuu hata kwa vitu anavyopatia ili mradi tupo upande tofauti hata akifanya kitu kwa maslahi ya watu waliodhurumiwa haki zao ni kupinga tuu..
 
Unaona sawa kuachiliwa mafirauni waliothibitishwa na mahakama kuu!? (babu seya)
 
Nimesoma mahali kuwa Mtukufu Rais amemwamrisha RCO kurudisha kesi zote za mauaji ya Mkoa wa Mwanza upya mahakamani. Hizi kesi zimefikia finality ya course zao, Sijui kwa sheria ipi anazirudisha. Review/Revision/ au AMRI TU KUWA AMUA HIVI FULANI ASHINDE

1. Mamlaka haya Rais anayapata wapi?
2. Mahakama zinaanzia wapi? High court /court of appeal?

Juduciary on trial again!

Mbona tunakwenda kubaya jamani?
Wewe kama jambo ulijui bora nyamaza kimya. Unajua mamalaka ya rais wewe? Raia ana mamlaka ya kubatilisha hata ukumu sembuse kurudisha mashauri mahakamani? Kamuulize Babu seya
 
Nimesoma mahali kuwa Mtukufu Rais amemwamrisha RCO kurudisha kesi zote za mauaji ya Mkoa wa Mwanza upya mahakamani. Hizi kesi zimefikia finality ya course zao, Sijui kwa sheria ipi anazirudisha. Review/Revision/ au AMRI TU KUWA AMUA HIVI FULANI ASHINDE

1. Mamlaka haya Rais anayapata wapi?
2. Mahakama zinaanzia wapi? High court /court of appeal?

Juduciary on trial again!

Mbona tunakwenda kubaya jamani?
Tukisema huyu mtu ni mshamba na janga wengine hawaelewi
 
Kaona mtaani hakubaliki kaona bora awageukie wafungwa pengine anaweza kuunda jeshi lake🤣🤣
 
Upumbavu ni kuchukulia rais kama mtu binafsi na si taasisi.

Kelele hizi Mngekuwa mnapigania tume huru Mngekuwa mnaonekana wa akili sana. Sasa subirini mje kulialia tena 2020
Ignore! Make a difference between a layman and a learned man
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom