Mamilioni ya Watanzania tunaendelea Kusimama na Rais Samia

Ndugu zangu watanzania,

Kwa wingi wetu ,kwa maelfu na mamilioni tunaendelea kusimama na Rais samia, tunaendelea kumtetea,kumsemea na kuwa upande wake ambao ndio upande wa nchi na Taifa letu,.kwa kuwa tumeona juhudi na dhamira njema ya Rais samia katika kututumikia watanzania,tumeona kazi kubwa aliyoifanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake iliyogusa maisha yetu,tumeona uchapa kazi wake ulioleta matokeo chanya katika kila eneo,tumeona uzalendo wake katika kulipigania Taifa letu,tumeona namna ambavyo kupitia yeye maisha ya mamilioni ya Watanzania yakijawa na matumaini na tumeona namna mikono yake ilivyomfikia na kumgusa kila mtu na kumuinua mahali alipo kiuchumi kwa kumshika mkono .na tumeona namna ambavyo watu wamefutwa machozi na kupewa Tabasamu.

Hatutamuacha mpweke Rais wetu,Hatutamuacha ashambuliwe, hatutakubali adhalilishwe au kutupiwa maneno makali,tutawakabili kwa hoja wote walio na maslahi yao binafsi,tutawakemea na kuwakataa kwa nguvu zetu zote,tutaikataa mipango yao ovu, hatutakubali walivuruge Taifa letu, tutaendelea kudumisha amani na utulivu wa Taifa letu.kwa kuwa tunatambua kila kitu alichofanya Rais wetu katika uongozi wake kimekuwa ni kwa maslahi mapana ya Taifa letu.

Rais wetu aliye mwingi wa Huruma ndani ya moyo wake wakati wote amejitoa na kujitolea muda wake wote kututumikia watanzania,amekosa muda wa kupumzika na familia yake na kuupumzisha mwili wake kama mwanadamu ili kuhakikisha kuwa madawa,vifaa tiba na wataalamu wa afya wanakuwepo mahospitalini, ili kuhakikisha kuwa mashuleni wanafunzi wote wanakaa katika madawati na wanasomea katika vyumba vilivyokidhi vigezo,ili kuhakikisha kuwa wanafunzi wote wanaomaliza kidato cha sita na wenye sifa wanapatiwa mikopo ya elimu ya juu,ili kuhakikisha kuwa wakulima wanapata mbolea za ruzuku ,ili kuhakikisha kuwa wawekezaji wanamiminika nchini.

Amekuwa anahangaika sana huku na kule na kwa nguvu zake zote kwa jasho na machozi ,kwa uchovu na maumivu ya mwili kutuhangaikia watanzania ili kuhakikisha kuwa watanzania tunapata milo mitatu kwa siku kwa kuhakikisha kuwa sera zinazopitishwa ni zile za kumuinua mtanzania wa kipato cha chini,ni zile za kuleta ahueni katika maisha ya wengi ,ni zile zenye kuleta matumaini,ni zile zenye kutoa fursa za ajira kwa maelfu na mamilioni ya vijana na ni zile zenye kupunguza utegemezi wa kipato na kuwaondoa watanzania katika umaskini.

Hii ndio sababu inayotufanya watanzania tusimame na kumtetea Rais wetu,hii ndio inayotufanya tusikubali kugawanywa na mtu yeyote yule bila kujali umri wake,hii ndio inayotufanya watanzania tusikubali maagizo ya wasaka tonge na wenye uchu wa madaraka na dhamira mbaya kwa Taifa letu.Tunaendelea kumbeba Rais samia katika mioyo yetu, tunaendelea kuwa ngao yake kimaombi, tunaendelea kumuunga mkono na kuwa upande wake,katu na kamwe hatutamtupa mkono maana tunajuwa ndio kiu ya wachache wenye nia ovu,hatutawapa nafasi wala nguvu ya kumkwamisha kiutendaji Rais wetu,hatutakubali Rais wetu avurugwe machoni petu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Hebu tueleze huko Iyunganawezaje kuunganishiwa umeme kwa sh. 27,000/=
 
Endelea tu kulamba miguu mwishowe utalamba Nnya
 
Tusimame naye ili iweje., kwanza tu huo mda wakusimama naye unaupata wapi.
 
Nyie wa kusimamia nae ndio hawataki, that's why amekaribisha wakosoaji waingie kwenye timu ya mipango because hataki watu wenye akili za kujipendekeza kama wewe
 
Mtu asiyewezi kujisimamia mwenye ukisimam Naye lazima uanguke naye tu amna namna
 
Unatakiwa ueleze kwa hoja unafiki wangu upo wapi na siyo kuandika jumla jumla tu

Unafiki wako wa kwanza ni kuandika mambo ya kuonesha it's like watanzania hawampendi rais wao au kuna ugomvi Kati ya wanainchi na rais

Ukweli ni hakuna ugomvi ila watu Wana haki ya kuhoji haswa inapofika kwenye Mali zao

Na rais ameonesha kukubali mawazo ya watu ambao wanahoji Kwa kuagiza waingizwe kwenye tume

Sasa wewe unakuja na ngonjera zako
 
Ndio maana tunaendelea kuandika bila kuchoka juu ya Rais samia kwa kuwa mema aliyoyafanya ni mengi sana yanayojitangaza na kuonekana machoni pa watu wasio vipofu wa akili na macho
Kaka ,naomba unisaidie kumwambia Mama suala la ajira ,ajira zimekua ngumu sana hata hazipatikani kabisaaa najua unawasiliana nae......gharama za maisha zimepanda sana.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom