Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Nimefurahia sana kwa serikali kupiga vita madawa ya kulevya haswa mirungi kwani familia nyingi ziliathirika sana kiuchumi kwa ulevi huu.
Wakulima wa mirungi huko Kenya wameanza kuona joto la zao lao kukosa soko Tanzania. Sasa hivi kinamama wengi wamefurahia sana hatua hiyo ya kupiga marufuku kwani mirungi kwa kiasi kikubwa kilikuwa chanzo cha kuvunjika ndoa nyingi sana. Mamilioni ya shilingi zilizokuwa zikitumika kwa kula mirungi sasa zitatumika kwa kuleta maendeleo kwa familia.