Siamini katika hii habari! kuna mambo mengi sana ya kuzusha saivi, katika biashara ambayo siyo rahisi kupigwa doro ni ya mafuta(SHELI) magari yananunuliwa kila siku na vyombo vingine vya moto na ni lazma vitumie vilainishi, sa kuniambia sheli zinauzwa ni jambo la kufikirika au kama limemfika mmoja lisiwe janga la taifa,tupunguze kulialia tujikazeni mioyo na tupambane la sivo tutaishia kuwa wakimbizi wa ndani ya nchi yetu.
watamwibia nani sasa watu wote hawana helaTuombe hali isiendelee hivyo maana wakora wataongezeka!
Kwani hujui kuna bado la mkono? Rungwe kawaambieni mlimnyima kura sasa acha njaa iwatafune tu maana hamna namnaatakaeichagua CCM 2020 ni tahira na punguani pekee
Mkuu ni kweli usemayo lakini kumbuka uchumi kuuvuruga ni suala la miezi 6 hadi mwaka inatosha lakini kuurudisha kuwa credible, sensible pamoja na kuondoa economic panic hii inayoendelea na hatimaye kurudia hali yake ni suala linalochukua muda sana (ndivyo ilivyo ukitoa recovery path ya Asian crisis 1997).Kiongozi bado ni mapema sana kumhukumu, nashauri tumpe muda kidogo.
Hivi anayeumia ni mpiga dili (mfanyabiashara) au wewe uliyekuwa unamtegemea mpiga dili?Habari hizi zinachochewa na pessimists wao wanawazia mabaya tu kuhusu uchumi.
Mkumbuke hao wafanyabiashara wakubwa walizoea kupata faida ya juu sana. Utajiri wao ukapaa kwa haraka.....na hii ilisababisha sana gap Kati ya tajiri na masikini.
Hapa kinachofanyika ni kupiga propaganda ili aina ya mfumo wao wazamani uendelee kuwanufaisha.
me naona sawa maana jinamizi.tulikua tunaonekana chadema a.k.a ukawa wakorofi kwa hali ilivyo hakuna sssm wa upinzani namba tuHii ni habari kuu katika gazeti la Nipashe la siku ya leo.
Habari inasema baadhi ya vituo mauzo yashuka kwa asilimia 50 na baadhi ya vituo vinapigwa bei.
Chanzo:Nipashe
Hali ikiendelea hivi katika kila sekta,sijui serikali itakusanya wapi kodi ya kwenda kuhifadhiwa BOT kupitia account za taasisi na mashirika mbalimbali ya umma.
Ukisikia nchi inakimbiwa na wachina ogopa sana !
Chini ya mtutu wa bunduki .Ngoja wenye umoja wa vituo vya mafuta waje wakanushe hapa
Yanatumia kamasiina maana haya magari yaliyoko barabarani yanatumia maji?