Mamia kupoteza ajira vituo vya mafuta

Propaganda at work,Tatizo uchumi ulishikiliwa na wapiga deal wachache
 
Kila mtu anaongelea uchumi hata maana ya uchumi hawajui wanafikiria uchumi ni kuwa na mapesa mifukoni ,Pesa zikizidi mifukoni ni tatizo pia,Sio kila mtu mchumi
 
Hahahahah hii ndio Tanzania ya Viwonder
Hii ni habari kuu katika gazeti la Nipashe la siku ya leo.

Habari inasema baadhi ya vituo mauzo yashuka kwa asilimia 50 na baadhi ya vituo vinapigwa bei.

Chanzo:Nipashe

Hali ikiendelea hivi katika kila sekta,sijui serikali itakusanya wapi kodi ya kwenda kuhifadhiwa BOT kupitia account za taasisi na mashirika mbalimbali ya umma.
 
Mafuta ya kuchukua bandarini bure hakuna ,walizoea kuyatoa bure bandarini ,mtalipa kodi zote za nyuma na mtafirisika zaidi,Sisi wengine tulizoea maisha magumu tangu zamani,mtazoea tu kutumia faida na mishara yenu taratibu povu litawaisha
 
Hii ni habari kuu katika gazeti la Nipashe la siku ya leo.

Habari inasema baadhi ya vituo mauzo yashuka kwa asilimia 50 na baadhi ya vituo vinapigwa bei.

Chanzo:Nipashe

Hali ikiendelea hivi katika kila sekta,sijui serikali itakusanya wapi kodi ya kwenda kuhifadhiwa BOT kupitia account za taasisi na mashirika mbalimbali ya umma.

HATUNYWI SUMU HATUJINYONGI CCM MBELE KWA MBELE

HATUNYWI SUMU HATUJINYONGI CCM MBELE KWA MBELE
 
Wacha watu wajifunze kujua thamani ya kura zao.
Watu sasa hivi wanajua thamani ya kura zao sema baada ya kupiga kura, uhalifu dhidi ya kura zao halali unafanyika. Mfano kule kwenye visiwa wapiga kura walishaamua nani awe rais wao lakini unajua yaliyotokea. Sasa hapo utalaumu wapiga kura? Na huku kwetu si unajua nini kilichotokea? Mpaka ikabidi yule nabii aitwe kusaidia kutuliza hasira katika kile walichoita "peace building visit" Na unajua alitumia muda mwingi kuongea na kumpoza white hair naye kwa busara kubwa akaamua kunyamaza na kumwachia Mungu. Wapiga kura wa sasa wameelimika sana na wanajua thamani ya kura zao tatizo ni kuchezewa kwa kura zao na watu wachche
 
Mimi naona hii hali isikome mpaka 2020 ili watu kwenye kampeni waogope chumvi,kofia, na vitenge na jezi za kijani iwe kama mvuta bangi kuona jezi za kaki
 
Kundi la wachawi kila siku ni kupiga ramli.
Mchawi ni wewe na mashetani wenzako wa Lumumba, suala nyeti la kuporomoka Kwa uchumi Wa nchi unataka kuleta siasa? CCM ni kitu gani, ni dubwasha gani mbele ya maslahi mapana ya taifa?
Uzezeta umewajaa kichwani hata hamjielewi, mpo mpo tu bora Siku ziende, kwenye maslahi ya taifa vyama vyote vya siasa huwa ni takataka, hakuna cha CHADEMA, CCM, CUF wala uchafu wowote, taifa kwanza mengine baadaye.
Magufuli amefeli na ameonyesha kamwe hawezi kuinua uchumi Wa nchi, kila kukicha hali ni mbaya, hadi viwanda vinafungwa lakini bado mpo tu mnatetea ujinga, tofautisha Kati ya chama na taifa.
Nyie kila jambo baya mnashabikia tu hata Kama ni hatari Kwa nchi, eti kisa Rais anatoka ccm, historia itawahukumu na kuwalaani kabisa, malipo ni hapa hapa duniani.
 
duh sasa kuna ka petrol station hapa tabata kina wadada wanajisikia ukiingia na pikpik hawakuangalii wala kukuita na ukifika kwenye pampu akija anakuangalia kama nyanya.....kama kuisoma namba ingekuwa vyema wangeanzia hapa
 
Hii ni habari kuu katika gazeti la Nipashe la siku ya leo.

Habari inasema baadhi ya vituo mauzo yashuka kwa asilimia 50 na baadhi ya vituo vinapigwa bei.

Vinapopigwa Bei si vinanunuliwa? au wanaonunua wanafugia kuku?

Chanzo:Nipashe

Hali ikiendelea hivi katika kila sekta,sijui serikali itakusanya wapi kodi ya kwenda kuhifadhiwa BOT kupitia account za taasisi na mashirika mbalimbali ya umma.
 
Hii ni habari kuu katika gazeti la Nipashe la siku ya leo.

Habari inasema baadhi ya vituo mauzo yashuka kwa asilimia 50 na baadhi ya vituo vinapigwa bei.

Chanzo:Nipashe

Hali ikiendelea hivi katika kila sekta,sijui serikali itakusanya wapi kodi ya kwenda kuhifadhiwa BOT kupitia account za taasisi na mashirika mbalimbali ya umma.
ina maana haya magari yaliyoko barabarani yanatumia maji?
 
Kila mtu anaongelea uchumi hata maana ya uchumi hawajui wanafikiria uchumi ni kuwa na mapesa mifukoni ,Pesa zikizidi mifukoni ni tatizo pia,Sio kila mtu mchumi
Na wewe Tutolee upuzi wako hapa, unajifanya Unajua uchumi kuliko wenzako?
Mtu anaweza kuwa na pesa mfukoni bila kazi au biashara? Au watu wana print pesa zao na kuziweka mfukoni?
Usijifanye hujui malalamiko ya maisha magumu ya wananchi na kupoteza ajira .
Ina maana watu kukosa pesa mifukoni ndo kuimarika Kwa uchumi?
Acheni tabia za kishetani bana, nimeishi Finland miaka mitano, nchi ambayo ardhi yake ni maji Kwa 60%,lakini ina uchumi mzuri kiasi kwamba watu wasio na ajira (raia wa Finland) wanapewa posho kila mwezi ya kujikimu.
Tanzania nchi kubwa yenye raslimali zote na ardhi ya rutuba, bado maskini Kwa miaka 56 ya Uhuru ,halafu unataka kutetea ujinga hapa, kumbe nyie ccm mtu akikosa hela mfukoni ndo uchumi huo.
Watu hatari Sana nyie.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom