Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,625
Wachumi wakae pamoja wamshauri Mhe Rais njia sahihi za kuboresha maisha ya wananchi.
Mkuu mambo yanaweza kubadilika baadaye, tumpe muda Mhe Rais.atakaeichagua CCM 2020 ni tahira na punguani pekee
ngoja tuone, lakini sioni dalili zozote.Mkuu mambo yanaweza kubadilika baadaye, tumpe muda Mhe Rais.
Kiongozi bado ni mapema sana kumhukumu, nashauri tumpe muda kidogo.ngoja tuone, lakini sioni dalili zozote.
Magufuli uwezo wake ndo umeishia hapo
Utaamini tu siku ikifika.Siamini katika hii habari! kuna mambo mengi sana ya kuzusha saivi, katika biashara ambayo siyo rahisi kupigwa doro ni ya mafuta(SHELI) magari yananunuliwa kila siku na vyombo vingine vya moto na ni lazma vitumie vilainishi, sa kuniambia sheli zinauzwa ni jambo la kufikirika au kama limemfika mmoja lisiwe janga la taifa,tupunguze kulialia tujikazeni mioyo na tupambane la sivo tutaishia kuwa wakimbizi wa ndani ya nchi yetu.
utaelewa tu,hao watu wanarundikiwa kodi za kuwafilisi kabisa!Siamini katika hii habari! kuna mambo mengi sana ya kuzusha saivi, katika biashara ambayo siyo rahisi kupigwa doro ni ya mafuta(SHELI) magari yananunuliwa kila siku na vyombo vingine vya moto na ni lazma vitumie vilainishi, sa kuniambia sheli zinauzwa ni jambo la kufikirika au kama limemfika mmoja lisiwe janga la taifa,tupunguze kulialia tujikazeni mioyo na tupambane la sivo tutaishia kuwa wakimbizi wa ndani ya nchi yetu.
Acha upuuzi wewe, nani mpiga ramli? Kwanini mnapenda kujifariji wakati hali ni mbaya? tena mbaya sana, mabenki hakuna kitu, nyumba na amana mbali mbali zinapigwa mnada bado wanunuzi wanakosekana, makampuni makubwa yanataka kujitoa then bado mpuuzi flani anaibuka na kusema eti wanapiga ramli?? Hata anguko kwenye soko la hisa nayopia ni ramli? Hata loss ya TBL nayo ni ramli? Hebu acha upunguani wako hapaKundi la wachawi kila siku ni kupiga ramli.
Mbona Serikali yenyewe inafukuza Watu ... Mara Wanafunzi UDOM...mara Majipu...Mungu atusaidie hii hali ipite mbali, lengo letu ni kuongeza ajira inapotokea zinapungua inauma sana.