Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,713
- 50,046
Mbona unatumia nguvu nyingi sana kulitaja hilo jina na kulirudia rudia tena na tena? Wataalamu bila shaka watagundua kuwa una gonjwa kubwa linakusumbua linaitwa Lowassaphobia!! Watu waoga hupiga kelele au kuongea wenyewe kama njia ya kujitoa hofu wanapokuwa kwenye maeneo ambayo wanayaogopa au mbele ya mtu wanayemhofia.Zungusha mikono hewani.......luwasaaaaaaaa