Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,512
- 272,210
cha kushangaza ni kwamba kwa muonekano huyu kamanda lowassa kama vile anarudi ujana , yuko fiti na ana nguvu ! hivi UKAWA mna siri gani jamani ?
Wabia wenu NCCR wana wabunge wangapi? Mmeacha kumpa hata Udiwani wa viti maalum mke wa Mwenyekiti mwenza wa NLD!Act ina mbunge mmoja kama taa ya kuwindia
Tulikuwa tumekaa mahali wakati maneno aliyowaambia mameya wale kuhusu bomoabomoa na utu wa mwanadamu, yupo mnazi mmoja wa ccm alikuwepo na akasema huyu jamaa (Lowassa) nilikuwa simwelewi tuu kumbe ni bonge la kiongozi.Ndio mameya wa jiji wameshaenda kwake hutaki kajinyonge
Naona ushaingia kuchukua zamu ya mcubic,karibu sana mkuuWabia wenu NCCR wana wabunge wangapi? Mmeacha kumpa hata Udiwani wa viti maalum mke wa Mwenyekiti mwenza wa NLD!
Ulikuwa una muandama sana mbunge wangu toka mwaka jana. Lazima niwe beneti na wewe! Ulijifanya unakaa Kakonko,utafuatwa huko huko!Naona ushaingia kuchukua zamu ya mcubic,karibu sana mkuu
Ccm hilo ndio jambo hawataki kabisa kulisikiaHata mseme vp jiji lipo mikononi mwa UKAWA multiparty system haiko kama mnavyotaka kwamba mbali na Chama tawala hakuna Chama kingine kinacho weza kuongoza ni uelewa mdogo ktk hili.
kuna kijiukweli fulani hapa , maana hicho chama kuna wakati tuliambiwa hawaachiani hata maji mezani !Ccm walikuwa wanamnyonya damu wachawi sana
Karibu sana nipo hapa karibu na kakonko centre sasa hivi nipo nakula balimi lager kwa kitafunio cha migebuka,Ulikuwa una muandama sana mbunge wangu toka mwaka jana. Lazima niwe beneti na wewe! Ulijifanya unakaa Kakonko,utafuatwa huko huko!
Tena kauli hiyo ilitoka kwa kiongozi mkubwa sana ndani ya chamakuna kijiukweli fulani hapa , maana hicho chama kuna wakati tuliambiwa hawaachiani hata maji mezani !
Nipo Kibondo mjini, kesho utaniona!Karibu sana nipo hapa karibu na kakonko centre sasa hivi nipo nakula balimi lager kwa kitafunio cha migebuka,
Karibu ukifika ni pmNipo Kibondo mjini, kesho utaniona!
Wataelewa tu hata kama ni kwa kuchelewa.Ccm hilo ndio jambo hawataki kabisa kulisikia
Mkuu hata kupitia hapa jukwaani wenye uwezo wa kupitia humu wanaipata hiyo elimu maana tumewashuhudia wengi wanabadilika na sasa wapo kwenye mabadiliko nje ya ccmWataelewa tu hata kama ni kwa kuchelewa.
Mkuu wataelewa tu ni muda tuTulikuwa tumekaa mahali wakati maneno aliyowaambia mameya wale kuhusu bomoabomoa na utu wa mwanadamu, yupo mnazi mmoja wa ccm alikuwepo na akasema huyu jamaa (Lowassa) nilikuwa simwelewi tuu kumbe ni bonge la kiongozi.
Wote tuligeuka kumtazama, kuna kitu kilisomeka usoni pake