Mameya Dar wamtembelea kamanda Lowassa

Mameya Dar wamtembelea kamanda Lowassa

Kama magufuri alivyo badilli motto ya manyumbu ya chagua ccm kura kwa mgombea,sasa ni chagua magufuri
And he is the president of all Tanzanians......Lowasa wako ni presidaa wa mifugo
 
And he is the president of all Tanzanians......Lowasa wako ni presidaa wa mifugo
Usha rukia kwa Magufuli, zungumzia yule wa kujipendekeza kwa wanene kwa ajili ya tumbo lake,sasa labda awanie uwenyekiti wa lekadutigite
 
Kamzungushie omwami maana sasa atakuwa amechanganyikiwa sijui ataishi vipi
Tuanze tena.....hakikisha umma hauna tena nguvu.....hapa ni mtu .....haya zungusha hewani.....Lowasaaaaaaa.....haya nyumbu itikia......
 
Kamzungushie omwami hasije akaji mkwawa
Tena zungushaaaa....luwasaaaaaaaa.......ole wako nisikie unasema peoples power......haya zungushaa mikono....nyumbu wote sema Luwasaaaaa
 
Tena zungushaaaa....luwasaaaaaaaa.......ole wako nisikie unasema peoples power......haya zungushaa mikono....nyumbu wote sema Luwasaaaaa
Naona umeishiwa nguvu nenda kamliwaze omwami hasiji mkwawa kwa kuangukia pua
 
Ndio mameya wa jiji wameshaenda kwake hutaki kajinyonge
Hahaaaaa.....wameenda kwa tajiri yao kupokea ujira....na si kwa walala hoi waliowachagua........nyumbu wote tumpongeze tajiri.....sema Luwasaaaaaaa........hakuna cha ukawa wala cdm....hapa ni Luwasa tu......haya zungushaaaaaa
 
demokrasia imetendeka salama kinondoni na ilala bado zanzibar ni vyema watawala wakibabe watambue maisha ya haki na usawa kwa wote yananguvu sana
 
Dah kuna mdau mmoja wa mabadiliko humu jamii forum sijui atarudi lini Ocampor four kama sijakosea jina
 
Back
Top Bottom