Mameya Dar wamtembelea kamanda Lowassa

Mameya Dar wamtembelea kamanda Lowassa

Habari zilizopo maeneo ya Temeke ni kuwa watu wanajilaumu na kulaumiana kwa vile halnashauri yao ndio masikini na iko nyuma kwa kila kitu jijini Dar lakini wameirudisha halmashauri yao mikononi mwa ccm tena.
Lawama hizo zinatokana na picha iliyopo sasa jijini kuwa Ilala na Kinondoni zitapaa kwa kasi kimaendeleo
 
Lowassa ameua hata motto ya CHADEMA iliyokuwa inasema People's Power!

Walianza kusema, Mabadiliko Lowassa, Lowassa mabadiliko!

Kwa sasa wanatuambia tena Lowassa Power!

Wanatuambia nguvu ya Lowassa imewafanya wakachaguliwa kuwa madiwani!

Motto ya People's Power ingetuambia nguvu za wananchi zimewafanya wakachaguliwa kuwa madiwani wa tiketi ya CHADEMA/UKAWA.

Shukrani ingewaendea wananchi kwa kutumia nguvu zao kuwachagua Madiwani.

Ama kweli, Lowassa ameibadilisha kweli CHADEMA!
 
Tuzo ya amani...mbona mnaificha kwapani.....tunaomba na majina ya zile taasisi 1200 za kilutheri
Tunaomba kwanza kuwajuwa wabunge waliomnyima kura zzk kwenye kipute cha pac
 
Mimi siyo mtumwa kama wewe ulivyo mtumwa kwa zzk na mwenzio mcheza uchii
Nyumbu wa Lowasa.....and ur brain is so empty.....yani hata nyumbu wenyewe wanakushinda kwa kufikiri......haya 1.. 2 ..3.....zungusha zungusha
 
Lowassa ameua hata motto ya CHADEMA iliyokuwa inasema People's Power!

Walianza kusema, Mabadiliko Lowassa, Lowassa mabadiliko!

Kwa sasa wanatuambia tena Lowassa Power!

Wanatuambia nguvu ya Lowassa imewafanya wakachaguliwa kuwa madiwani!

Motto ya People's Power ingetuambia nguvu za wananchi zimewafanya wakachaguliwa kuwa madiwani.

Shukrani ingewaendea wananchi kwa kutumia nguvu zao kuwachagua Madiwani.

Ama kweli, Lowassa ameibadilisha kweli CHADEMA!
Kama magufuri alivyo badilli motto ya manyumbu ya chagua ccm kura kwa mgombea,sasa ni chagua magufuri
 
Nyumbu wa Lowasa.....and ur brain is so empty.....yani hata nyumbu wenyewe wanakushinda kwa kufikiri......haya 1.. 2 ..3.....zungusha zungusha
Kamzungushie omwami maana sasa atakuwa amechanganyikiwa sijui ataishi vipi
 
Tunaomba kwanza kuwajuwa wabunge waliomnyima kura zzk kwenye kipute cha pac
Zungusha tena mikono huku tukiua nguvu ya umma.....
Sote tusema Luwasaaaaaaaaa.........
 
Hivi barua ya maombi ya kuwa Mwenyekiti wa PAC huyu Ndugai alishaijibu?
Au anasubiri yale maandamano ya kumpongeza JPM kwa bomoabomoa?
Nasikia alimpigia simu maana angemjibu kwa barua jamaa angeweza kuji mkwawa
 
Heri yenu mliojitoa ufahamu Wa kupenda pakacha hata kama linavujisha bora limebeba hivohivo tu muhimu mbebaji kafika salama.

Hongereni kwa Lowasa wenu mnyaazi mungu atawalipeni.

Bebeeeni tu.
 
Hivi barua ya maombi ya kuwa Mwenyekiti wa PAC huyu Ndugai alishaijibu?
Au anasubiri yale maandamano ya kumpongeza JPM kwa bomoabomoa?
Tunasubiri maandamano ya kutwaa tuzo ya amani kinshasa Kongo
 
Back
Top Bottom