.....lol..ningeziamsha hasira za kimasai..?
...niko pouwa kabisa..kuingia ndani hadi sebuleni..nimefuata ramani
...hahahahaha..nilishatoka..leo naangalia makabidhiano ya barabara ya Mwai Kibaki..hapa...
..umejitoa katika nini..?..na hao madogo wapi tena wanaofuata nyayo zako..kila upitapo..?