ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,305
Kumruhusu mumeo awe karibu na wema, ha kujawahi kumwacha mtu salama.
1. Kumwaga nje.
Usijaribu hii kitu endapo mwenzi wako amekwambia yupo siku ya hatari.
Narudia tena, USIJARIBU KUSEMA UTAMWAGA NJE.


naomba niongezee, kuamini sana kalenda hakujawahi kumwacha mtu salama.Ishi! Unauliza wakati vita ishawatafuna watu tayari!Hahaha unamaanisha kuna mtu hatokua salama mkuu?
Inamaana anakula bila kuongea?Humphrey Polepole ni msikivu ndio maana yuko kimyaaaaaaaa
Ishi! Unauliza wakati vita ishawatafuna watu tayari!