Mambo yanazidi kuongezeka ccm, Who is Next?

Yani Ma CHADEMA mnakuwaga Majinga Majinga tu . Kwa hiyo Ninyi Mnajiona Ni Mawe na Miamba Mtakaoishi Milele ? Je ninyi Hamfi? Je hamtakufa?

Nawachukieni sana CHADEMA
Mjinga namba moja humu jamiiforums ni wewe, hivi wewe kwa mawazo yako na akili ulizopewa na Mungu , binadamu wote mtakuwa na ITIKADI sawa.

Uwezo wako wa kufikiri upo chini sana
 
Yani Ma CCM mnakuwaga Majinga Majinga tu . Kwa hiyo Ninyi Mnajiona Ni Mawe na Miamba Mtakaoishi Milele ? Je ninyi Hamfi? Je hamtakufa?

Nawachukieni sana CCM
Maswali yako yanafit sana ukiyaweka hivi na ukawauliza maboss wako.

Ila sasa bahati mbaya baada ya hapo hatuwezi kujua hata 'whereabouts ' zako daima!

Kwahiyo endelea kukomaa na CDM tu uweze kuishi.
 
Kwa hiyo Ninyi Mnajiona Ni Mawe na Miamba Mtakaoishi Milele ?
U killed Mzee Kibao
U killed Alphonve Mawazo
U killed Mdude
U killed Polepole
U killed ......
U killed ......
U killed ......
Tragic on Oct, 2026
Etc............

I hope umeona nani anajifanya mwamba?

"MUNGU ANADIZI KUONESHA UKUU WAKE"
 
Yani Ma CHADEMA mnakuwaga Majinga Majinga tu . Kwa hiyo Ninyi Mnajiona Ni Mawe na Miamba Mtakaoishi Milele ? Je ninyi Hamfi? Je hamtakufa?

Nawachukieni sana CHADEMA
Sasa leo hii ww uliyekuwa unafurahia chadema kutekwa na kupotezwa ndio ukasirike leo chadema wakifurahia mnayowasababishia?
Huyu ulimkemea kwa kauli yake ?
 
Taarifa za kuaminika zinasema hiyo ajali ni ya kutengenezwa na genge la sa100.Hilo genge limepewa orodha ya watu wengi na anayefuata ni mwigululu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…