Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,454
- 286,856
Hadi umesahau kuandika Yaani na kuandika Yana.Yana Ma CHADEMA mnakuwaga Majinga Majinga tu . Kwa hiyo Ninyi Mnajiona Ni Mawe na Miamba Mtakaoishi Milele ? Je ninyi Haimfi? Je hamtakufa?
Nawachukieni sana CHADEMA
Utamaduni mgumu kabisa.Yana Ma CHADEMA mnakuwaga Majinga Majinga tu . Kwa hiyo Ninyi Mnajiona Ni Mawe na Miamba Mtakaoishi Milele ? Je ninyi Haimfi? Je hamtakufa?
Nawachukieni sana CHADEMA
Sisi furaha yetu ni yeye kufa π πAmekufa kwa ajali kifo ni kawaida sijui huko chadomo hamfi
USSR
Sijui nani atafuataOooh ni mwendo wa kuwamaliza wote waliohusika na Oct 29, tunapoteza Mashahidi kwa namna hii.
Huyu hawezi kupumzika , MUNGU sio wasira au kabudiMungu ampe pumziko la milele
Hilo linafahamikaUkiwa CCM wewe ni MTU wa motoni Tu
ππ€£π πππππππππSisi furaha yetu ni yeye kufa π π
Sawa
Orodha imevuja tunaendelea kuichambua, tutaiweka hapa jf bila uogaSijui nani atafuata
Hakuna hiyoππ€£π πππππππππ
Apumzike Tu Kwa Amani
Sina Mengi Sana Kwenye Hilo