Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 644
Mimi wale wanaomba ushauri kwa jambo ambalo hata mtoto mchanga anaweza kuamua yeye mwenyewe ndiyo wanaonikera zaidi
eti mtu hata kwenda kufumania anaomba ushauri,dah...hivi ubongo ni wa kazi gani?
jf kila mtu ana maisha mazuri na anamiliki gari ukimwambia tukutane basi atakukimbia mpaka ukate tamaa
jf kila mtu ana maisha mazuri na anamiliki gari ukimwambia tukutane basi atakukimbia mpaka ukate tamaa
Wana MMU wanaojifanya "classic" kumbe ni wa uswahilini tu.
sema shobo tu za nyuma ya keyboard.
jf kila mtu ana maisha mazuri na anamiliki gari ukimwambia tukutane basi atakukimbia mpaka ukate tamaa
wanaotoa thread ndefu kwa kithungu"
huku wanaelewa sio lugha rasmi ya taifa"