Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,831
- 637
Wakiwa Dodoma ni kungonoka kwa kwenda mbele.Hapo wanapiga jalamba mechi baadae
Huyu ni Nchemba au macho yangu yananidanganya..??
Hivi akiwa ni mkeo/mmeo unamuonna kwenye picha akiwa hivi unafanyaje!
Sijakuelewa, ina maana CCM ndio zao, hivyo akiwa huko lazima afanye hivyo! duh!!!!! Kwa heri CCMWakati mkeo anakuwa mwana-CCM wewe utakuwa wapi na unafanya nini???