Mambo yanaendelea kutokota

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,692
Reaction score
7,862
Chadema shikilia hapo hapo kama Iran pale Homz.
Kusikilizwa kabla ya makubaliano ndio jambo la msingi.
Mioyo ya wanachadema imejaa makovu waombwe msamaha kwanza ndipo wahitajike .
Toa boriti kwenye mboni yako kwanza .
 
Atakayewaomba msamaha Chadema nani? Kwa lipi la kuombwa msamaha? CCM na Serikali yake ninayoijua Mimi sidhani kama wanaweza kufikiria kufanya huo ujinga. SIDHANI!
 
πŸ˜„πŸ˜€πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ€£πŸ˜…πŸ˜‘πŸ˜„πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…