Mambo yaliyokuwa yanakuudhi nyumbani ulipokuwa mdogo...

Sema basi tu mimi kwangu hii ishu ya kuwapa feva wageni haswa kwenye misosi huwa naifanya ila vinatengwa vyote i mean inakuwa kama gombania goli ataepata paja hongera zakeila mgeni ukizubaa unaweza jikuta ukala miguu na shingo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana basi kuku ipikwe nyingi ya nyumbani na ya wageni alaaa hata mi siwapendi kabosa wageni nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Asee sie watoto wapwani wazazi wetu ni 'waswahili' 'swahili' fulani ivi,

Nakumbuka mama alikua akiniagiza kitu kama ikiwa sikukiona namjibu Mama 'sikioni' basi yeye hunijibu 'Puani', Aisee hiyo tabia ilikuwa yanikeraa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom