Mambo yakutesana unapo join form1 bweni


Mjengo wa kikoloni kudaadeki... Hapo mjumba una karne na zaidi lakini bado umesimama imara.
 
Mjengo wa kikoloni kudaadeki... Hapo mjumba una karne na zaidi lakini bado umesimama imara.

Naam mkuu, hilo ni Jengo la mwanzoni kabisa kujengwa na Wamissionari wa Kilutheri.
Ni moja ya majengo yenye umri mrefu shuleni Ilboru.
 
Yaani nimechekaje?
Bahati yangu sikukutana na bullying manake nilivyo mjeuri mbona ningewafukuzisha shule wababe wote. Nikichomoka tu hapo brek ya kwanza kwa mwalimu mkuu. Wangenunajeeee?
mkuu kuna utesaji wa aina nyingi kuna mwingine ni very technical kiasi kwamba hata uende kwa mkuu huwezi pata msaada au hawezi fukuzwa yeyote,Ungeibiwa mali zako kila siku sijui ungeshtaki kwa nani na ungekuwa unafanyiwa fitina za kila aina
 
Hiyo shule yako haipo katika orodha za watesaji full stop na kwa bahti mbaya katika utesaji heri uwe mdogo kuliko ukafika shule kibabe in few days ubabe wako unapotea kabisa na kama una bro wako hapo ye hadeal na wewe ila watu wengine so anadeal na wewe in directly
 
Daaaaaahhhh inawezekana aiseeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…