Mambo ya zanzibar hayo

Mboga hiyo tabu kuipata, Kiongozi. Nimefuatilia nimegundua mtu akitaka kuchinja, mnyama anaisha akiwa hai, umeona. Yaani kabla hajachinjwa kaisha, sasa sisi wengine ambao ni wageni kupata hiyo mboga ni shida!!!!
Uko wapi mkuu??hivi ni mimi ndo sijaelewa ni ni nyama ya aina gani au mwakaboko nimeanza kupatwa na wasiwasi lol!!!
 
Last edited by a moderator:

Haramu
 
Haramu diyo nini, halafu haya masuala ya kuita viumbe wa Mungu haramu, ninyi ndiyo mtakuwa ni haramu. Usikosoe kazi ya Mungu wakati uwezo wa kuumba mbu huna. Mungu ametupa mboga, ww unaidhalilisha eti haramu, angalia utashindwa hata namna ya kuanza kutubu, shauri yako!!!
 
watu meshabadili maada tayar... wengne tulitaka kujua kwann paliitwa hvyo.. FaizaFoxy hebu elezea kidogo mama hyo sehem kwann waliita hilo jina
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…