Mambo ya vyapati...!!!

Mambo ya vyapati...!!!

Aisee...nimetoka kukandamiza Ugali wa udaga si mda sasa hii sijaelewa inaweza ikawa ndo dinner au supper, nieleweshe mkuu, maana mate yanatoka tu hapa.
Hahaha mkuu kama ushagonga aisee itabidi kwako iwe dessert
 
Dah me mdau mkuu wa chapati Tanzania.
Hapo ulitakiwa upate na maharage na chai maziwa.

Wakati wa kutaka kuoa hii ndo itakuwa interview yangu ya awali(aptitude test).
 
Dah me mdau mkuu wa chapati Tanzania.
Hapo ulitakiwa upate na maharage na chai maziwa.

Wakati wa kutaka kuoa hii ndo itakuwa interview yangu ya awali(aptitude test).
Hahahah, sio matriculation test
 
Huwezi amini huo Mlo umeharibiwa na iyo MIVIAZI MBATATA....Nilivyo sivipendi hamu zote zishaniishia
 
Back
Top Bottom