donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,129


E bwana ndio.
Aisee we jamaa mbona tunaleteana hizo...umenifanya nikumbuke kijijini kwentu aisee, napenda sana huo mrenda wa karanga yaani ugali huwa naona mdogo siku zote nikitengewa huo
yani tena uchochezi na uhujumu uchumi wa tumbo kabisa!Uchochezi huu