Mambo ya uswahilini hayo

Kweli Mungu anatuepusha na mengi hapo unakuta watu wa hilo eneo wala hawaumwi ila wewe ambaye tayari umejiwekea mawazo ya ukila hizo chapati na maandazi utaumwa na kweli utendeshaa balaa.
 
ubuntuX duuuuhhh Avatar yako ni sheeeeeddddddddeeeeeeeeeeeerrrrrrrrrrrrrr
 
Last edited by a moderator:
mmmh hiyo avatar ni mada tosha kweheri!!!!!
 
hahahahaha uswazi ni noumer ila ,mletamada atakuwa anaishi hapahapaaaa hahahaha
 
Hivi vitumbua huwa vinakuwa vitamu nyinyi hamjui tu...
 
Tena watoto wanaokula hiyo kitu huwa hawaugui hovyo, jaribu wewe wa Masaki uone...

Msijidanganye na kujipa moyo, huko uswahilini watu wanakufa kila siku na sababu za vifo hazijulikani, tena wengi wanaondoka bado wadogo tu. Katika tembea yangu yote, sijawahi kuona misiba kama Tanzania.
 
Tutayalaa ss tufanyajee hayo ndo maisha bora kwa kila mtz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…