Mkorogo tuu muchiiiii
Embu weka picha yake kabla ya kutumia carolight tuone alivyokuwa
weeeee!!JOSEPHINE Amejikoroga mpaka kawa hivi???????
Disgusting......kama wema tu.
I wish angepata washauri, anamuabisha sana mkuu
Mungu huwa anatupa wa kufanana nao. Dr. Slaa naye kapewa wa kufanana naye.
Josephine please stop that. Ina maana uafrika unauchukia that much? Please please acha bwana. Wewe ni mzuri bila kujibleach, and again huhitaji watu wakuone au wakuambie mzuri, you should know that toka moyoni mwako.
Hapana Mungu huwa anatupa strength za kutujazilizia pale tulipo na mapungufu. The thing is yule mama seems much know na mkuu yupo busy kujaza mashimo yanayowekwa na jeikei