Joeli JF-Expert Member Apr 25, 2011 4,941 3,402 Aug 18, 2012 #1 mambo ya pwani haya lazima uwe makini
V valid statement JF-Expert Member Sep 18, 2011 2,851 868 Aug 18, 2012 #3 mwenye mali ni huyo bABU NINI??
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,510 28,416 Aug 19, 2012 #5 astafighulilah shekhe wangu.........
M Mrdash1 JF-Expert Member Sep 21, 2010 1,375 336 Aug 19, 2012 #6 si nasikia hayo ni mambo ya cameron sasa iweje tena yawe ya pwani??
Bigirita Platinum Member Feb 12, 2007 15,986 7,366 Aug 19, 2012 #7 Mrdash1 said: si nasikia hayo ni mambo ya cameron sasa iweje tena yawe ya pwani?? Click to expand... hahahahahhaaa. . . . Watu wa pwani ndo zao lakini wakikusikia watataka uombe radhi
Mrdash1 said: si nasikia hayo ni mambo ya cameron sasa iweje tena yawe ya pwani?? Click to expand... hahahahahhaaa. . . . Watu wa pwani ndo zao lakini wakikusikia watataka uombe radhi
Abdulhalim Platinum Member Jul 20, 2007 17,193 3,011 Aug 19, 2012 #8 watu wa pwani hatuchezi pool..usituchanganyie habari..
M Mrdash1 JF-Expert Member Sep 21, 2010 1,375 336 Aug 19, 2012 #9 Bigirita said: hahahahahhaaa. . . . Watu wa pwani ndo zao lakini wakikusikia watataka uombe radhi Click to expand... Wanang'ata na kupulizia ili wasigundulike!! te te te kwi kwi kwi
Bigirita said: hahahahahhaaa. . . . Watu wa pwani ndo zao lakini wakikusikia watataka uombe radhi Click to expand... Wanang'ata na kupulizia ili wasigundulike!! te te te kwi kwi kwi