NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Nov 2, 2013 #2 Hapo ujifanye umekosea njia alafu unakutana nao ha!ha! utaomba upae angani....!!!
omujubi JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 4,444 Reaction score 2,703 Nov 2, 2013 Thread starter #3 NAPITA said: Hapo ujifanye umekosea njia alafu unakutana nao ha!ha! utaomba upae angani....!!! Click to expand... na hasa huyo alivyokwisha pandwa na 'mzuka', we acha tu!
NAPITA said: Hapo ujifanye umekosea njia alafu unakutana nao ha!ha! utaomba upae angani....!!! Click to expand... na hasa huyo alivyokwisha pandwa na 'mzuka', we acha tu!
S SI unit JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,953 Reaction score 767 Nov 2, 2013 #4 Hivi kinana hajaanza kuwawinda hawa
Vitaimana JF-Expert Member Joined Nov 2, 2013 Posts 3,531 Reaction score 1,570 Nov 2, 2013 #5 SI Unit, hajaanza mkuu bado anayatafutia soko!kwa sasa hayalipi kama yale mengine!
T thadey makusilo Member Joined Oct 31, 2013 Posts 46 Reaction score 11 Nov 2, 2013 #6 Xana mzee wangu!
choggo Member Joined Aug 12, 2011 Posts 23 Reaction score 3 Nov 3, 2013 #7 mara nyingi wakiwa katika hali hiyo hawali chochote zaidi ya kunywa maji,shughuli yenyewe hufanyika kati ya siku 5-7.
mara nyingi wakiwa katika hali hiyo hawali chochote zaidi ya kunywa maji,shughuli yenyewe hufanyika kati ya siku 5-7.
S Swat JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 4,201 Reaction score 2,003 Nov 3, 2013 #8 Wanaopiganaga na simba mpaka kumuua wanahitaji pongezi kubwa!
VOICE OF MTWARA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,140 Reaction score 2,269 Nov 3, 2013 #9 lions of the tribe of Judah