Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,619
- Thread starter
-
- #21
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata ningekuwa mm ningewafukuza waIran, wenzao Wakatoriki walijenga vyote kwa pamoja Shule, Vituo vya afya na makanisa
Sasa ww unajenga misikiti tu inatusaidia nn? Kusali si hata sebureni kwako unasali
Yule rais wa mawe wa huko aliyeambiwa arejeshe fedha za mafisadi kala shaba hadharani tayari au alifanikiwa kuwahi kuzirejesha ndani ya masaa 48 aliyoamriwa?Leo huo!!
Putino aungwe mkono.
Gadafi kauliwa lumumba kauliwa sankara kauliwa... chuma kipya kimeibuka Bulkinabe! Harakati haiji kuishaThomas Sankara yuko wapi? Sylvanus Olympio yuko wapi? Afrika bado ni ile ile jana, leo na kesho haijabadilika hadi Dahari.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hajui huyo mleta mada.na alitaifisha shule na hospitali za wakatoliki pia
Lakini alitengeneza mfumo unaowapooza wa wao kupata urais, what about shule, hospitali za madhehebu mengine wasiyoweza kupata urais? Dilemma.na alitaifisha shule na hospitali za wakatoliki pia
Hahahaha eti kitaifisha...kitaifisha ya konyo,ujanja mwingi mbele kizana alitaifisha shule na hospitali za wakatoliki pia
Una akili sana hii lugha uliyotumia hakika wewe ni msomina alitaifisha shule na hospitali za wakatoliki pia
Wewe, kwa kugubikwa na Udini wewe ndyo maana hauoni mantiki ya maamuzi yake kuvunja uhusiano na Israel. Nyerere hata hao Wapalestina, ambao wengi ni Waislam haeatamsahau Nyerere kwa utu wake na kujali haki za binadamu. Aliwafukuza Waisrael kwa sababu walikuwa wanawanyanyasa Wapalestina.Mwl. Nyerere pia alikuwa na mambo ya kushangaza aliyofanya yasiyoshikiwa bango zama hizi:-
1. Mawazo yake yalifanana pia na ya Nduli Dikteta Idd Amin Dada kwenye kutetea Wapalestina.
2. Alikuwa na udini pia pale alipovunja uhusiano na Israel na kukumbatia uhusiano na Holy See.
3. Alifukuza Wa-iran Ifakara baada ya kugundua hawatekelezi mradi wa kilimo cha mpunga na badala yake wanaotesha misikiti. Lakini aliendelea kukumbatia Vatican ambayo haikuwahi kujenga hata kilometa 1 ya barabara ya muram lakini wakiotesha makanisa makubwa yenye minara kama mlima Kilimanjaro na yenye kuchukuwa maeneo makubwa ya ardhi.
4. Viongozi wote wana dini na udini pia. Fair play ikoje hapa?
Kumbe wakati fulani jana inafanana na leo.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu kinadharia ila kivitendo dhehebu moja lina nguvu bara na dini moja ina nguvu Znz.Alikazia kuwa"nchi haina dini" Ila watu Wana dini zao, kila mtu aheshimu Imani ya mwenzake ili mradi asivunje sheria.
5. Pamoja na kuwa mkatoliki mzuri kwenye miaka ya 1970 alitaifisha shule na vyuo vingi vilivyokuwa vinamilikiwa na Kanisa Katoliki na kuvifanya mali ya Umma hadi leo!Mwl. Nyerere pia alikuwa na mambo ya kushangaza aliyofanya yasiyoshikiwa bango zama hizi:-
1. Mawazo yake yalifanana pia na ya Nduli Dikteta Idd Amin Dada kwenye kutetea Wapalestina.
2. Alikuwa na udini pia pale alipovunja uhusiano na Israel na kukumbatia uhusiano na Holy See.
3. Alifukuza Wairan Ifakara baada ya kugundua hawatekelezi mradi wa kilimo cha mpunga na badala yake wanaotesha misikiti. Lakini aliendelea kukumbatia Vatican ambayo haikuwahi kujenga hata kilometa 1 ya barabara ya muram lakini wakiotesha makanisa makubwa yenye minara kama mlima Kilimanjaro na yenye kuchukuwa maeneo makubwa ya ardhi.
4. Viongozi wote wana dini na udini pia. Fair play ikoje hapa?
Kumbe wakati fulani jana inafanana na leo.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
una ushahidi na hilo? je ccm ni taasisi ya wakatoliki?, kikwete, mwinyi ni wakatoliki?Lakini alitengeneza mfumo unaowapooza wa wao kupata urais, what about shule, hospitali za madhehebu mengine wasiyoweza kupata urais? Dilemma.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
mzee wenu wa rufiji ndiye aliyetupoteza economiccally kwa sera zake za ubepari uchwara.....je una chuki na nyerere au ukatoliki wake sheikh?Hahahaha eti kitaifisha...kitaifisha ya konyo,ujanja mwingi mbele kiza
Akiiandika kwa kina si atakuwa amemsifia Nyerere wakati lengo lake ni kuonesha kuwa Nyerere alikua mwovu sana.Mbona hiyo namba 2 umeiweka Kinyonge...!?
Sema alivunja Uhusiano na Israel kwa sababu ya ukandamizaji kwa Wapalestina.
Na kwa kukumbusha tu yeye alikua Mkristo.... Na kwa kuongezea tu hakuna Kiongozi wa Kiislam anayeweza kufanya alichofanya Nyerere.
huyo wewe hujamwelewa, huyo ana ubaguzi wa kimadhehebu na anawaponda sana wakatolikWewe, kwa kugubikwa na Udini wewe ndyo maana hauoni mantiki ya maamuzi yake kuvunja uhusiano na Israel. Nyerere hata hao Wapalestina, ambao wengi ni Waislam haeatamsahau Nyerere kwa utu wake na kujali haki za binadamu. Aliwafukuza Waisrael kwa sababu walikuwa wanawanyanyasa Wapalestina.
Udini wako unakugubika mbaka unashindwa kujua kuwa Kimataifa Vatican na hata Palestina zimepewa na Umoja wa Mataifa hadhi ya States. Hivyo nchi zote zisikokuwa na mawazo taka ya Uislam kama wewe Zina uhusiano wa Kibalozi na Vatican na Palestina. Ni kwambie tu kuwa Saudi Arabia na Iran pia Zina uhusiano wa Kibalozi na Vatican.
Uliisha sikia lini Vatican ikajikita kwenye siasa za Udini maji taka kama hayo Mataifa yenu ya kiarabu? Kutwa zinakuja chini ya mwamvuli wa kusaidia Tanzania kumbe Wana ajenda ya kuchipua mamiskiti; tunaona yanavyochipua kama uyoga kila mahali.
Nafikiri watu kama wewe it's only a matter of time tutakukuta ikiwa naakundi ya kigaifi Msumbiji au Somali.
Kuna mmoja kabaki anawachezesha rede tu viongozi hapo.waliofukuzwa wajomba zake.Hata ningekuwa mm ningewafukuza waIran, wenzao Wakatoriki walijenga vyote kwa pamoja Shule, Vituo vya afya na makanisa
Wanaopindua serikali wanaapishwa ili iweje??CHUMA kimeapishwa Bukinabe!!!
Una umri gani!?..waulize wazee wako maisha yalikua mazuri kipindi Cha mzee wa rufiji au mzanaki!?..hujui chochote kuhusu sabuni za gwanji,sukari guru na kupanga foleni kununua unga siyo!?..mzanaki raia walikua wakitembea viraka vitupu matakonni,ukiwa na redio tajirimzee wenu wa rufiji ndiye aliyetupoteza economiccally kwa sera zake za ubepari uchwara.....je una chuki na nyerere au ukatoliki wake sheikh?
Mwalimu alisoma Tabora shule ya Serikari. Haikuwa ya missioni.1...nakubali alitumia Sana decree
3...wairani ,walikosea walitakiwa wajenge shule Sana na vituo vya afya (huduma zamsingi kusali hata kwenye miti tungesali) ,wakatolic ilikuwa nilazima yeye mwenyewe alitokea tabora ambapo ni tawi la Vatican(mishenari)
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app