Kupanga tena? Haziuzwi?Karibu na wewe upange kwenye mojawapo mkuu tuwe wengi.
Mkuu umenena vyema. si vibiashara tu patafugwa kuku hapo, mabanda ya kila aina ya mifugoMkuu tuletee picha baada ya mwaka tuone hali ikoje. wabongo watazifuja hizo hadi kinyaa. Kila mkaazi hapo atataka kufungua kibiashara mbele ya nyumba anayoishi. mwisho mandhari hiyo yote itapotea.
Mkuu tuletee picha baada ya mwaka tuone hali ikoje. wabongo watazifuja hizo hadi kinyaa. Kila mkaazi hapo atataka kufungua kibiashara mbele ya nyumba anayoishi. mwisho mandhari hiyo yote itapotea.
Mkuu tuletee picha baada ya mwaka tuone hali ikoje. wabongo watazifuja hizo hadi kinyaa. Kila mkaazi hapo atataka kufungua kibiashara mbele ya nyumba anayoishi. mwisho mandhari hiyo yote itapotea.
Hata hizo nyingine zilizoungwanishwa kama behewa pia zilikuwa zinauzwa,hapo majirani wa kiafrika lazima wagombanie ukuta wa nyumba kila siku.Kuuzwa zilishauzwa zote sa hivi wajanja wanapangisha tu.