grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Pengine ni kutokana na ufinyu wa bajeti.Samahani lakini, hayo ni matumizi mabaya ya ardhi. Kwa nini hizo nyumba hawakuzijenga kwa mtindo wa ghorofa?
Tiba
Pengine ni kutokana na ufinyu wa bajeti.Samahani lakini, hayo ni matumizi mabaya ya ardhi. Kwa nini hizo nyumba hawakuzijenga kwa mtindo wa ghorofa?
Tiba
Wengine wanampango wakufungua gereji bubu hapo mbele kwenye kiuwazi hicho.Mkuu tuletee picha baada ya mwaka tuone hali ikoje. wabongo watazifuja hizo hadi kinyaa. Kila mkaazi hapo atataka kufungua kibiashara mbele ya nyumba anayoishi. mwisho mandhari hiyo yote itapotea.
Samahani lakini, hayo ni matumizi mabaya ya ardhi. Kwa nini hizo nyumba hawakuzijenga kwa mtindo wa ghorofa?
Tiba
Mkuu tuletee picha baada ya mwaka tuone hali ikoje. wabongo watazifuja hizo hadi kinyaa. Kila mkaazi hapo atataka kufungua kibiashara mbele ya nyumba anayoishi. mwisho mandhari hiyo yote itapotea.