Mambo ya ndagu nimeamini hakuna ukweli

Omnilabeltech

Member
Joined
Jul 26, 2026
Posts
61
Reaction score
118
Salamu wakuu aisee before sijachukua steps nilisoma humu JF watu wengi wanasema utajiri wa ndagu haupo n story tu nikakaza fuvu nikasema wacha nijaribu nimekuta story zile zile zile tu aisee Unaambiwa hivi ukifika hapo hapo unaona vitu ila ukifika hakuna jipya unaanza kupigwa kalenda mara fanya hili mara fanya lile .
 
Kijana una moyo?? Nitafute vzr c uku jf bali nitafute nilipo .mm nakupeleka moja kwa moja kwa mtaalamu kwa nauli yangu na km kuna gharama zzt nyingine tukifika uko ntakulipia .alafu ufanyiwe dawa ya aina unayotaka ww alafu urud mjin utanipa majibuu...sharti la kwa nijue kwel una moyo wakutaka mafanikio ya haraka ..NITAFUTE ILA C JF .nitafute ujuavyo ww.
 
Sina uhakika kwa kweli
Ndagu ni harisi kabsa!

Kama upo kanda ya ziwa ulizia kuna mtu mmoja ni maarufu na anapesa, huyu bwana awewahi kufanya kituko cha mwaka (alikula ndagu, akambaka dada ake toka nitoke sokoni siku wa gurio live bila chenga akamvua kabsa na akaichapa), baada ya hapo jamaa alipata pesa sana na alimporomoshea yule dada yake bonge la mjengo! Imepita miaka mingi ila jamaa bado anapesa tu! Haya mambo yapo
 

Unanipa mtihani mm nakuchek pm naomba ureply
 

Unanipa mtihani mm nitakufta how
 

Hiyo kali
 

How i can find you story zinaanza vile vile mzee Ungesema nikupe namba kama n kweli usemayo
 

Ataenda kukuchomesha, kuna mtu nili m connect sehemu, aliyoyafanya anabaki kulaumu. Watu wa hivyo wengi hawako serious. Wanajaribu utafiti tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…