Mambo ya Mswati hayo

Mambo ya Mswati hayo

Mamaaaaae hizi pini za hatariii..muswati unakula vitu laini sana aiseee
 
Ujue kuna maneno mawili tofauti; KUFAIDI na KUFAUDU. Sasa huyu jamaa anafaudu aisee.
 
Hizi nyingine lawama tu hizi, Mswati anatafuta sababu auwe watu

mswati%2B12.jpg
 
Hahahahaha me mwenyewe nlitegemea manyonyo yapo, wametubania. Nadhan yanaonyeshwa wakati mfalme ndo anachagua kitu.

Labda mkuu inawezekana ikawa hivyo coz nilifungua thread kwa hamu kubwa kabisa kufika ndani ikawa,OOOOOUPS.
 
Back
Top Bottom