Mambo ya Msingi Sana katika maisha

Hizi dondoo nimezipenda sana, zinasaidia mtu kuishi maisha mazuri, sio lazima uwe na utajiri.

-Kwa wachepukaji, usipende kuwa na mwanamke mazingira ya kazi, kanisani/msikitini na maeneo ya nyumbani.

-Jitahidi kumsikiliza mwenzako aongee hadi amalize hoja yake, usimkatishe wala kumzuia kuongea wakati anapokuambia jambo lake.
 
Ubarikiwe sana daima ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…