MAMBO YA MJINI

MAMBO YA MJINI

Aaah kabisaa, yeye alikuwa na ulimbukeni wa utoto na umaarufu halafu hakuwa na mshauri mzuri. Wakati mavampire yamepata fursa mara moja na yamekuwa MDC na Mawaziri...Wewe utasema nini sasa, hili si lijinga hili ?
Upele huota pasipo kucha,.
 
Aaah kabisaa, yeye alikuwa na ulimbukeni wa utoto na umaarufu halafu hakuwa na mshauri mzuri. Wakati mavampire yamepata fursa mara moja na yamekuwa MDC na Mawaziri...Wewe utasema nini sasa, hili si lijinga hili ?
[emoji3][emoji3][emoji3]Dah tumuache asije akalia.
 
Huyu mtoto mjinga sana huyu, yaani angewaiga wenzake wakina Faraja au Klyn.
Yeye alikuwa anakismati na wazee wa Lumumba lakini akaona hawa wa madale wanalipa sanaa... Angekuwa kashaolewa saa hizi na bado anatamba mujini....Jinga kweli hili toto....
 
Mkuu alikunyima uroda au [emoji3][emoji3]
 
Huyu ni Tanzania sweet heart au macho yangu yananidanganya?
 
Mkuu alikunyima uroda au [emoji3][emoji3]
Hahahahahaha,
Mzee mimi mabinti wa hivi hawajawahi kunivutia hata siku moja. I love to keep a low profile...Sema mimi kama mdau wa maendeleo ya vijana hasahasa mabinti huwa nasikitishwa sana na Wema. She had a great potential and tremendous future lakini she ruined it......MISS TZ ni bonge la dili kwenye biashara mzeee yani bonge dili.
 
Bado ana nafasi ni mdogo bado kiumri anaweza kufanya chochote kama atajitambua.
 
Back
Top Bottom