mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,146
- 3,463
Jamaa mmoja kakodi tax akiwa anatembea katika jiji mara akapita gest moja akamuona mkewe akiingia ndani ya gesti, jamaa akamwambia dereva simama, jee? unataka laki tatu za chap chap? dereva akajibu ndio, jamaa akamwambia nenda mle gesti kamtoe mke wangu picha yake hii hapa, tena uwe unampiga ngumi, mateke, vichwa, makofi mpaka ufike nae hapa, dereva kaingia ile kutoka anakuja na mwanamke mwingine na kichapo kinaendelea, Jamaa kaduwaa na kusema we vipi mbona huyo sio yeye? Dereva akajibu huyu mke wangu, subiri nitakwenda kumtoa wa kwako pia.,,,,,,,,,,,,,,,,,,nouma sana..