Mambo ya michepuko haya unaweza kufariki

Mambo ya michepuko haya unaweza kufariki

Eti nae haoni haya kusema anamweshimu mumewe!!! Hii dunia bwana!!!
 
Ukiona mme au mke anaanika nje mapungufu ya mwenzi wake ujue hiyo ndoa iko ICU inasubiri kujifia tu
 
Ila najiuliza huu mchepuko je shuhuli unaiweza au basi tu hela yake ndo kila kitu?

Ameshasema shida yake ela...na mumewe kasoro anazo mbili...ya ugoi goi inavumilika...ubahili ndo kashindwa kuvumilia.....

Afadhali anayechepuka sababu ya genye...hao wa pesa ni likely atakuwa na michepuko ya kutosha ili azichange vizuri...(anajiuza maanake)
 
Back
Top Bottom