Mambo ya michepuko haya unaweza kufariki

Mambo ya michepuko haya unaweza kufariki

My atoto...sina mchepuko, I'm very loyal to my love you know! Katika kupiga story na wenye michepuko, nilikuja kufahamu kuwa huko michepukoni most men wanakula pete..atakupa kila utakacho, lakini nawe utatoa kila akitakacho..!

Hahahaaaa! Usiwadhingidhie bwana sema tu ni wewe mie sitakuchukia ujue😉😉😉
 
Last edited by a moderator:
Teh teh!! We sema una agenda ya kutaka kuninyima tunda...

Naanzaje kukunyima sasa, haya sema ni tunda gani unalolitaka chungwa,limao,chenza,fenesi,....
 
Naanzaje kukunyima sasa, haya sema ni tunda gani unalolitaka chungwa,limao,chenza,fenesi,....

Lile la mti wa katikati, lile ambalo tayari lishaanza kuota miba kiaina...nataka lile ambalo litakuwa linanichomachoma kwa mbaaali..teh teh!
 
Lile la mti wa katikati, lile ambalo tayari lishaanza kuota miba kiaina...nataka lile ambalo litakuwa linanichomachoma kwa mbaaali..teh teh!

Mwendhio hata thijakuelewa ujue, alafu umesemaje pale juu? Eti hauchepuki!!! Unataka nilete vithibitisho? Sema km umeacha siku hizi bwana
 
Mwendhio hata thijakuelewa ujue, alafu umesemaje pale juu? Eti hauchepuki!!! Unataka nilete vithibitisho? Sema km umeacha siku hizi bwana

Nakuruhusu ulete uthibitisho...anzia pm kwanza...hahaaaaaa!
 
cc12

agrrrrrriiiiii.....lugha kali sana weka mbali na watoto.......
 
Last edited by a moderator:
Teh...haya ngoja nitakuonyesha njia ya huko manake nishachoka sasa. Tupia uthibitisho wako live hapa...alaaaa..teh!

Unajua utaachika kijana, sema haki ya mimi niumwage
 
cc12

Mmeanza kukopi na, jf MMU mnakuwa lazy thinkers. Hayo maelezo mtu kaweka kama anonymous kwenye blog ya sintah Mrs. Nature mstaafu nashangaa we utaishiwaje nguvu wkt inawezekana ni kurusha roho tu za watu
 
Last edited by a moderator:
Mmeanza kukopi na blog ya sintah, jf MMU mnakuwa lazy thinkers. Hayo maelezo mtu kaweka kama anonymous kwenye blog ya sintah Mrs. Nature mstaafu nashangaa we utaishiwaje nguvu wkt inawezekana ni kurusha roho tu za watu

Very touchng ndo maana nimeweka si kila mtu anapita huku sinta blog
 
Ila najiuliza huu mchepuko je shuhuli unaiweza au basi tu hela yake ndo kila kitu?
 
Back
Top Bottom