My atoto...sina mchepuko, I'm very loyal to my love you know! Katika kupiga story na wenye michepuko, nilikuja kufahamu kuwa huko michepukoni most men wanakula pete..atakupa kila utakacho, lakini nawe utatoa kila akitakacho..!
Hahahaaaa! Usiwadhingidhie bwana sema tu ni wewe mie sitakuchukia ujue😉😉😉
Teh teh!! We sema una agenda ya kutaka kuninyima tunda...
Ngoja wanaume waje
Watatokaje mapovu leo
Naanzaje kukunyima sasa, haya sema ni tunda gani unalolitaka chungwa,limao,chenza,fenesi,....
Lile la mti wa katikati, lile ambalo tayari lishaanza kuota miba kiaina...nataka lile ambalo litakuwa linanichomachoma kwa mbaaali..teh teh!
Mwendhio hata thijakuelewa ujue, alafu umesemaje pale juu? Eti hauchepuki!!! Unataka nilete vithibitisho? Sema km umeacha siku hizi bwana
Nakuruhusu ulete uthibitisho...anzia pm kwanza...hahaaaaaa!
Hahahaaaaa!! Pm ndio wapi sasa?
Teh...haya ngoja nitakuonyesha njia ya huko manake nishachoka sasa. Tupia uthibitisho wako live hapa...alaaaa..teh!
Unajua utaachika kijana, sema haki ya mimi niumwage
Hakyanani nikiachika nakuja kwako. Tupia inbox kwanza...nisije umbuka live!
Mmeanza kukopi na blog ya sintah, jf MMU mnakuwa lazy thinkers. Hayo maelezo mtu kaweka kama anonymous kwenye blog ya sintah Mrs. Nature mstaafu nashangaa we utaishiwaje nguvu wkt inawezekana ni kurusha roho tu za watu
Very touchng ndo maana nimeweka si kila mtu anapita huku sinta blog