Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,807
- 17,360
Perfect kabisa lakin akili hana alafu anachukua masters elimu haijamkomboa kabisa huyu
Kwani elimu ni nn kaka.
Kama mtu ni malaya.mwizi.muongo.mmbeya.mgomvi.mbinafsi.mlafi.mpenda ngono.shoga.msagaji na tabia zingine kwani elimu inaziondoa jamani.
Elimu ni mtu anapata mafunzo fulani k.v kuendesha gari.ndege.kutibu watu.kujenga.kuingoza watu.kutunza kumbukumbu au mwalimu afundishe watu ila tabia za kibinadamu bado anazo rafiki yangu.
Tatizo kuna watu wanakuwa na elimu na wanajiona kama wao ni malaika la hasha ushenzi hata wa kibinadamu mtu anao hata wavuta bangi wagomvi na mateja wapo pia hata wacha Mungu na watukuza shetani na raia kwa sangoma wanaenda na elimu zao.
So usishangae kuwa elimu ukamfanya akawa malaika eti wa kuigwa na jamii au msanij kioo cha jamii wenyewe wanakataa.mie ndo mtazamo wangu